Nilikuwa nayo mawili maduka, ndiyo biashara yangu ya kwanza kabisa kama mwajiriwa. Niliyafunga yote, na nikabuni biashara nyingine na hela naiona. Pia tukafanya maamuzi magumu mmoja wetu akaamua kuacha kazi na kusimamia. Ila ya duka tupa kule kabisa.
Biashara ya kufungua Duka na kuwaajiri Vijana,hutakaaa uone maendeleo, Fungua kazi yako simamia mwenyewe utaona faida,
Fanyeni kazi kwa mikono yenu acheni kutegemea watumwa.
Kaka Apolinary nakubaliana na wewe kiasi fulani lakini ili uone maendeleo si utahitaji u expand ? ufungue matawi zaidi si utahitaji kuajiri ? ama inakuaje hapo ?
na kwenye bar ndio kiboko. wakiuza crate nne tano mapema wanafanya replacement. maduka ya jumla yako jirani haraka tu wanaleta. usipogundia, mfanyakazi anakusanya nyingi kuliko mwenyewe, huku anakinga mshahara mwisho wa mwezi. kuna kitu najiuliza hii ni tabia ya watanzania au ulimwengu ndivyo ulivyo. kwa sababu kila ukiajiri mtu anakuangalia umejisahau wapi akupige. yaani kuwekeza mradi bongo ukasimama, inahitaji roho ya paka.
Nilivutiwa na topic kuja ndani mnajadili kiswahili allah!
typo-typeAhsante, lakini kumbuka kuna tofauti ya typo na kuandika isivyo na kuahribu lugha. Hiyo yangu ni typo tu na ntairekebisha.
Kuahribu-kuharibu
Ntairekebisha-Nitairekebisha
Nilivutiwa na topic kuja ndani mnajadili kiswahili allah!
Mnyampaa? au Mkhekhu?
Hujui Kiingereza.
Wewe ndio umeandika kiswahili gani? Kimejaa makosa mpaka aibu ueleweki umeandika nini?
Mada=maada
kuahribu=kuharibu
typo=?
bibi unazidi kukiharibu zaidi kiswahili. Usikimbilie kusahihisha makosa ya mwenzako kabla hujajitathimini wewe kwanza.
monyomonyokwe,We ni mwingereza?
Dah, hujui kuwa mada na maada ni vitu tofauti?
Hujui maana ya Typo?
Hujui kuwa kuharibu na kuahribu kuwa ni typo?
Pole sana kijana, huna kiwango cha kushindana nami.
= Hueleweki.
Hujui Kiswahili na hauna shule ya kushindana na mimi. Nnakusikitikia sana kijana kwa kuacha kuendelea kusoma kwa umri wako ulivyo mdogo na kujishughulisha na mitandao.
Pole sana.