Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

Nilikuwa nayo mawili maduka, ndiyo biashara yangu ya kwanza kabisa kama mwajiriwa. Niliyafunga yote, na nikabuni biashara nyingine na hela naiona. Pia tukafanya maamuzi magumu mmoja wetu akaamua kuacha kazi na kusimamia. Ila ya duka tupa kule kabisa.
 
Ulifanya maamuzi magumu na sahihi kwa wakati ulio sahihi
 
Biashara ya kufungua Duka na kuwaajiri Vijana,hutakaaa uone maendeleo, Fungua kazi yako simamia mwenyewe utaona faida,
Fanyeni kazi kwa mikono yenu acheni kutegemea watumwa.
 
Biashara ya kufungua Duka na kuwaajiri Vijana,hutakaaa uone maendeleo, Fungua kazi yako simamia mwenyewe utaona faida,
Fanyeni kazi kwa mikono yenu acheni kutegemea watumwa.

Kaka Apolinary nakubaliana na wewe kiasi fulani lakini ili uone maendeleo si utahitaji u expand ? ufungue matawi zaidi si utahitaji kuajiri ? ama inakuaje hapo ?
 
Kaka Apolinary nakubaliana na wewe kiasi fulani lakini ili uone maendeleo si utahitaji u expand ? ufungue matawi zaidi si utahitaji kuajiri ? ama inakuaje hapo ?

Swali zuri ngoja nimuite Apolinary Arudi kujibu
 
Last edited by a moderator:
na kwenye bar ndio kiboko. wakiuza crate nne tano mapema wanafanya replacement. maduka ya jumla yako jirani haraka tu wanaleta. usipogundia, mfanyakazi anakusanya nyingi kuliko mwenyewe, huku anakinga mshahara mwisho wa mwezi. kuna kitu najiuliza hii ni tabia ya watanzania au ulimwengu ndivyo ulivyo. kwa sababu kila ukiajiri mtu anakuangalia umejisahau wapi akupige. yaani kuwekeza mradi bongo ukasimama, inahitaji roho ya paka.

ni dhambi sana kwa kweli, mi kuna mtu namjua kabisa anauza duka la simu, anachofanya na yeye anaagiza mzigo wake toka dubai na anauzia hapo hapo dukani kwa boss wake..huyo boss wake anaishi mkoa mwingine ambako ana biashara huko pia kwa hivyo wanajaichia na mizigo yao wanauza yoote, boss akikaribia kuja ndio wanatoa simu zake wanadisplay zao wanazificha..halafu wanasingizia biashara mbaya, kumbe wanauza mizigo yao..
hapo mwenye duka anawalipa mshahara, marupurupu, analipia umeme, kodi ya nyumba, ulinzi, TRA, n.k wao hawalipi chochote na mizigo yao wanauza hapo hapo..fikiria wanapata faida mara ngapi...
kuna siku huyo ndugu yang aliibiwa pesa nyingi, kimoyo moyo nikasema huwenda ni dhambi za kumdhulumu boss wao
 
Nilivutiwa na topic kuja ndani mnajadili kiswahili allah!
 
Wewe ndio umeandika kiswahili gani? Kimejaa makosa mpaka aibu ueleweki umeandika nini?

= Hueleweki.

Hujui Kiswahili na hauna shule ya kushindana na mimi. Nnakusikitikia sana kijana kwa kuacha kuendelea kusoma kwa umri wako ulivyo mdogo na kujishughulisha na mitandao.

Pole sana.
 
Mada=maada
kuahribu=kuharibu
typo=?
bibi unazidi kukiharibu zaidi kiswahili. Usikimbilie kusahihisha makosa ya mwenzako kabla hujajitathimini wewe kwanza.

Dah, hujui kuwa mada na maada ni vitu tofauti?

Hujui maana ya Typo?

Hujui kuwa kuharibu na kuahribu kuwa ni typo?

Pole sana kijana, huna kiwango cha kushindana nami.
 
Dah, hujui kuwa mada na maada ni vitu tofauti?

Hujui maana ya Typo?

Hujui kuwa kuharibu na kuahribu kuwa ni typo?

Pole sana kijana, huna kiwango cha kushindana nami.

Sawa mi sitaki kushindana nawe. Nitamtafta Makii Hassan anifafanulie.
Btw ulishajifunza jinsi ya kumiriki mladi wowote wa biashara? Usingoje mpaka umri wa kujichokea ndiyo ujihusishe na haya mambo vinginevyo lazima ulizwe! Na ulivyo mbovu wa hesabu we bibi i guess you gonna hire me to balance for your books of accounts!
 
Uzi itabidi upelekwe jukwaa la lugha maana wadau badala ya kuchangia mada wengi wamejikita kwenye kuonyeshana umwamba kwenye kiswahili yaani kama ni mkutano mwenyekiti anakuwa ameshindwa kukimudu kikao kwa kuruhusu ajenda zingine ndani ya ajenda kuu, kwa mantinki hiyo hata sie wachangiaji tumetoka kwenye ajenda. Vinginevyo asnate kwa tahadhari uliyotoa mleta uzi
 
= Hueleweki.

Hujui Kiswahili na hauna shule ya kushindana na mimi. Nnakusikitikia sana kijana kwa kuacha kuendelea kusoma kwa umri wako ulivyo mdogo na kujishughulisha na mitandao.

Pole sana.

nani aliokwambia watu wote tumesoma kwa kiswahili?
 
Back
Top Bottom