Bora tu umejisema mzaramo......yaan raia tunajizolea maarifa buure namna ya kupambana na harakat zakibiashara wewe unatuvuruga kwa kuleta usoroo eti wakujua lugha..? kiswahili si tunakibonga kama kenya ilmradi mteja/mfalme atuelewe kitu gan bhanaa.?Muniomaho, mimi ni Mzaramo nnaejuwa Kiingereza kuliko wewe.
= Hueleweki.
Hujui Kiswahili na hauna shule ya kushindana na mimi. Nnakusikitikia sana kijana kwa kuacha kuendelea kusoma kwa umri wako ulivyo mdogo na kujishughulisha na mitandao.
Bibie kusoma sana ni kuogopa maisha ukishapata elimu ya wastani tafuta besaaa...sawa foxy? elimu ya mtaa ni zaidi ya ile ipatikayo shuleni.
Kujisifia kote huku na shule yako mwisho wa mwezi unawah Nmb kupanga foleni kupokeaa vilaki kadhaaa.....kaa utulie upate maarifa namna kuhesabu mamiliiiioniii sawaa...?
Elimu ni elimu, iwe Kiswahili au Kichina, lakini wewe hiyo elimu yako, iwe kwa lugha yoyote ile, ni finyu sana, hapo ndipo kwenye tatizo.
Ungekuwa na elimu ya kukutosha, yoyote ile, ungefurahi unapoelekezwa kwa faida yako.
Mimi siyo mchaga japo watu wengi wanajua mi mchaga ata nilivyokuwa na miaka 4 niliwai potea ilikuwa Dar kupelekwa polis nikazungushwa kwa wachaga wote maeneo hayo hakina mushi, masawa, mosha etc wote wakasema hawanijui kwa bahati nzuri baadaye mama akaja kunitoa.
Kiswahili changu nikiongea ni cha kipekee na mvuto pia ni vile nimechanga ma lugha mengi hivo imesababisha kuwa cha tofauti na chako kiko kama cha mombasa.
Nikiongea kiswahili kama ni msichana lazima u fall in love vile natamka maneno kwa uzuri hadi raha.
Nikiendelea kuandika watu ( wenye roho ngumu ) wataponda ngoja nihishie hapa
ata=HATA
niliwai=niliwahi
polis=polis
hakina=akina
nimechanga=nimechanganya
hivo=hivyo
"Kuwafirisi" = kuwafilisi.
"Uangalia" = huangalia.
"Mtafirisika" = mtafilisika.
Hata ukiwa na mada nzuri vipi, ukikosea-kosea kuandika unaikosesha ladha.
Tukitendee haki Kiswahili ni lugha tamu.