Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

Hivi ndivyo wafanyakaz wa maduka wanavyowaibia na kuwafirisi.

Muniomaho, mimi ni Mzaramo nnaejuwa Kiingereza kuliko wewe.
Bora tu umejisema mzaramo......yaan raia tunajizolea maarifa buure namna ya kupambana na harakat zakibiashara wewe unatuvuruga kwa kuleta usoroo eti wakujua lugha..? kiswahili si tunakibonga kama kenya ilmradi mteja/mfalme atuelewe kitu gan bhanaa.?
Wazaramo siwale akili zao zinawaza puuu.mb.uuuu muda woote..? sasa wewe unafikiri bla ankara kweli wapga pu..mb..uu watakuwa na cha kumuhonga faizafoxy ..?
 
= Hueleweki.

Hujui Kiswahili na hauna shule ya kushindana na mimi. Nnakusikitikia sana kijana kwa kuacha kuendelea kusoma kwa umri wako ulivyo mdogo na kujishughulisha na mitandao.

Bibie kusoma sana ni kuogopa maisha ukishapata elimu ya wastani tafuta besaaa...sawa foxy? elimu ya mtaa ni zaidi ya ile ipatikayo shuleni.
Kujisifia kote huku na shule yako mwisho wa mwezi unawah Nmb kupanga foleni kupokeaa vilaki kadhaaa.....kaa utulie upate maarifa namna kuhesabu mamiliiiioniii sawaa...?
 
Elimu ni elimu, iwe Kiswahili au Kichina, lakini wewe hiyo elimu yako, iwe kwa lugha yoyote ile, ni finyu sana, hapo ndipo kwenye tatizo.

Ungekuwa na elimu ya kukutosha, yoyote ile, ungefurahi unapoelekezwa kwa faida yako.

marehemu Regia Mtema kwenye moja ya mazungumzo yetu binafsi alishaniambia... anakukubali kwa hoja zako zenye kuegemea kwenye kiswahili.
 
ata=HATA
niliwai=niliwahi
polis=polis
hakina=akina
nimechanga=nimechanganya
hivo=hivyo
Mimi siyo mchaga japo watu wengi wanajua mi mchaga ata nilivyokuwa na miaka 4 niliwai potea ilikuwa Dar kupelekwa polis nikazungushwa kwa wachaga wote maeneo hayo hakina mushi, masawa, mosha etc wote wakasema hawanijui kwa bahati nzuri baadaye mama akaja kunitoa.

Kiswahili changu nikiongea ni cha kipekee na mvuto pia ni vile nimechanga ma lugha mengi hivo imesababisha kuwa cha tofauti na chako kiko kama cha mombasa.

Nikiongea kiswahili kama ni msichana lazima u fall in love vile natamka maneno kwa uzuri hadi raha.

Nikiendelea kuandika watu ( wenye roho ngumu ) wataponda ngoja nihishie hapa
 
ata=HATA
niliwai=niliwahi
polis=polis
hakina=akina
nimechanga=nimechanganya
hivo=hivyo

kuna kitu watu hamjui,kiswahili kinatofautiana kulingana na sehemu au nchi husika ambayo mtu amesomea au ameishi.
Kiswahili kinachofundishwa Kenya,Tanzania,Rwanda,Congo,Burundi,Uganda etc kamwe hakifanani.

Hivyo tusilazimishane kuandika swahili ya Tz,si kila mtu anayeingia JF ni Mtanzania.Kiswahili nilichofundishwa mimi au mwingine ni tofauti na wewe ulivyofundishwa.Viongozi wa JF kuweka Jukwaa la Lugha waliweka kwa malengo,hivyo nenda Jukwaa la lugha ukarekebishe uko,hapa tuache wafanyabiashara tujadili yetu
 
Wabongo ina bidi tubadilike na kufanya biashara kisasa,,watu weupe wana biashara za maduka ambazo sometimes zina branches zaidi ya 500 kama Wal-Mart, Tesco,Sainsbury nk.Na kila siku inapo isha wanajua mauzo ya maduka yote,stock walizo uza,stock zilizo baki nk.
Tatizo letu sisi tunana fanya biashara kizamani,hatu implement robust systems ambazo zitafanya biashara iende with minimum personal surveillance,ina bidi tubadilikena kufanya biashara kisasa haya malalamiko yote ya kuibiwa yata isha.
 
Wabongo ina bidi tubadilike na kufanya biashara kisasa,,watu weupe wana biashara za maduka ambazo sometimes zina branches zaidi ya 500 kama Wal-Mart, Tesco,Sainsbury nk.Na kila siku inapo isha wanajua mauzo ya maduka yote,stock walizo uza,stock zilizo baki nk.
Tatizo letu sisi tunana fanya biashara kizamani,hatu implement robust systems ambazo zitafanya biashara iende with minimum personal surveillance,ina bidi tubadilikena kufanya biashara kisasa haya malalamiko yote ya kuibiwa yata isha.
Bila kuanzisha mfumo borawaa usimamizi wa biashara ambao sio tegemezi basi biashara zetu zitakua zina kufa nasi tunapo maliza siku zetuu hapa duniani .
 
"Kuwafirisi" = kuwafilisi.

"Uangalia" = huangalia.

"Mtafirisika" = mtafilisika.

Hata ukiwa na mada nzuri vipi, ukikosea-kosea kuandika unaikosesha ladha.

Tukitendee haki Kiswahili ni lugha tamu.

hahahahahahahaaaaaaaaa... nilijua nimenotice mwenyewe
 
Back
Top Bottom