Hivi ndivyo Wahindi wanavyosafirisha mihogo kwenda Ulaya

da aisee yaani wenzetu wako advanced sana yaani huo unga wa muhogo wana uprocess kilakitu hapa kwetu wana upack kule kwao ndiyo wanauza kwa bei hiyo ?unajua hapo unazungumzia karibu ya elfu sita wanapata super profit wakati hapa garama hatumii hata sh miatano kwa kilo au vipi jamani?
 
lakini kuna refregerated container ambazo unaweza kuset joto lolote unalotaka unaweza kusafirisha kuna unga unatoka rwanda huwa wana export sijajua tu wanapakia container za aina gani
 
Hii ni mihogo fresh mkuu na soko ni kubwa sana.
 
Huo ni unga au ni muhogo halisi
 
ok sikuelewa inamaana ni mihogo fresh? da watakuwa wanapata faida sanaa maana hapa ukifika msimu wa mihogo fungu la mihogo karibu sita buku tu da jamani mpaka inauma yaani
 
Kumbe hii ni biashara kabisa...
lakini kuna refregerated container ambazo unaweza kuset joto lolote unalotaka unaweza kusafirisha kuna unga unatoka rwanda huwa wana export sijajua tu wanapakia container za aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…