masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,282
Kwa upande wa soko si ni lazima uende mwenyewe kwanza ili ukutane na wahusika
inaonekana
biashara nzuri sana hapo ni mtaji tu na soko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaonekana
biashara nzuri sana hapo ni mtaji tu na soko
Kwa upande wa soko si ni lazima uende mwenyewe kwanza ili ukutane na wahusikaInabidi uwe na cooler transporters
Kwamaana kwamba ukiwa unafahamiana na hao jamii ndogo sio. Kama una wabongo kule hii biashara mnaweza kuifanya kumbe bila hata wewe mwenyewe kupanda pipa.Ni kweli lakini unaweza kuanzia Ubalozi wa nchi lengwa na kuwambia soko lako ni ethnic minority’s community