Hivi ndivyo Wahindi wanavyosafirisha mihogo kwenda Ulaya

Kwa upande wa soko si ni lazima uende mwenyewe kwanza ili ukutane na wahusika
Ni kweli lakini unaweza kuanzia Ubalozi wa nchi lengwa na kuwambia soko lako ni ethnic minority’s community
 
Huo ni mhogo wenyewe frozen,undefinedundefinedunahitaji package nzuri kisha tumia vacuum sealer kuseal
 
Ni kweli lakini unaweza kuanzia Ubalozi wa nchi lengwa na kuwambia soko lako ni ethnic minority’s community
Kwamaana kwamba ukiwa unafahamiana na hao jamii ndogo sio. Kama una wabongo kule hii biashara mnaweza kuifanya kumbe bila hata wewe mwenyewe kupanda pipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…