BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
View attachment 3164849
Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania.
Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na Chakula na matibabu.
Haya yako sana kwenye utalii huko ndio usiseme, unakuta hadi Wahasibu ni wageni.
Serikali ya CCM haya hayawahusu, wao sana wanajua kuiba na kuja kulia lia majukwaani wakitafuta huruma.
Mambo kama haya huwezi yakuta nchi nyingine make huko wabajali sana Raia wao.
Endeleeni kungoja Mbowe na Familia yake waandamane kuwatetea.