Hivi ndivyo wakenya wanavyodharaulika wakiwa nchini kwao

Nimecheka sana eti afande kavaa buts anamkimbia jamaa kavaa kandambili. Wakenya mko na shida pahala your not normal human beings japo hamjion these guys have f****cked up your brain.
 
Write your reply...
midume ya Kenya hupigwa na wake zao, wanawezaje kujitetea kwa mchina.
 
Sisi huku mgeni yeyote akija lazia anyenyekee.
Wanajua sisi tunajali UTU na si VITU.
Wakenya hata ukiwa unamtukana na kumdharau, ili mradi umpe HELA, lazima atakunyenyekea.
 
Juzi wakenya wametoa povu jingi sababu ya yule ceo wa voda muegypty kukamatwa,kitu kama kenya akiwezekani,wanawaona watu weupe kama Mungu vile
 
Walitoa povu, hawajui sisi hatuangalii makunyanzi. tunasweka tu mtu lupango. kama unabisha muulize yule Seth na Rugemalila wako wapi.
 
Mzungu amefanya Tz shamba la bibi kupora kila kitu si tanzanite, gas na madini zingine kwa ukarimu na upole wa mtanzania ati hapendi vurugu ni mtu amani. Halafu mtanzania ananyanyaswa hata na waafrika wenzake...bure kabisa
 
Kabla hata JPM, Nyerere ndio aliyo tujaza ujasiri wa kupambana na hii mijitu myeupe, kwa maneno ya kuwakejeli kama:
Mabeberu
Wanyonyaji
Kabacholi
Watu wa pinki
Na mengine mengi walahi
😁😁😁😁 yaan hapo jina kali kbs ni kabacholi sijui mtunzi alifikiria nn
 
Mzungu amefanya Tz shamba la bibi kupora kila kitu si tanzanite, gas na madini zingine kwa ukarimu na upole wa mtanzania ati hapendi vurugu ni mtu amani. Halafu mtanzania ananyanyaswa hata na waafrika wenzake...bure kabisa
Hahahahaha, Kenya not yet Uhuru, hata Julius Malema anajua hivyo, Kenya "Mzungu" kwanza, hata WODE MAYA alikutana na hiyo hali hapo Kenya. Bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati 3/4 ya dar is slum alafu redeemer akajichanganya akasema almost 1/2 of Nairoberry is slum 😀😀😀😀 Enyewe njia ya muongo ni fupi.
 
Mgagaa na Upwa Dar is Slum hata huhitaji zaidi ya mita 200 kukumbana na slum 😀😀 jaribu kubadilisha gear sasa 😀😀
 
Ahaaa haaa haaa
Hivi weye hata hizo mita 200 unazijua?
Pili hivi wewe tangu uzaliwe umewahi toka nje ya kibera, ukiacha Nairobi!!?
 
Nimecheka sana eti afande kavaa buts anamkimbia jamaa kavaa kandambili. Wakenya mko na shida pahala your not normal human beings japo hamjion these guys have f****cked up your brain.
Ebu nielezee wametu https://jamii.app/JFUserGuide aje brain!?
 
Back
Top Bottom