Tandika yeye kofi vile huyu jamaa ametufunza /t.co/EDHAmCPK88"]capo de tuti capi on Twitter">pic.twitter.com/EDHAmCPK88[/URL]
— capo de tuti capi (@dennistush) November 4, 2018
Juzi serikali inapinga km mumemfukuza...au mnaogopa kukatiziwa misaadaSio chini ya JPM! Uliza Balozi wa EU!
Akijaribu hii atapimwa akili na mkojo!<blockquote class="twitter-tweet"><p lang="tr" dir="ltr">Tandika yeye kofi vile huyu jamaa ametufunza <a href="capo de tuti capi on Twitter">pic.twitter.com/EDHAmCPK88</a></p>— capo de tuti capi (@dennistush) <a href="">November 4, 2018</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
Kama vile Redsan alitandika Wabongo watatu.Hawa ndio ulisema watambabaisha aslay?
Wanaume wawili wanatandikwa na one Russian junky in the mamaland 😂😂😭
Juzi wakenya wametoa povu jingi sababu ya yule ceo wa voda muegypty kukamatwa,kitu kama kenya akiwezekani,wanawaona watu weupe kama Mungu vileSisi huku mgeni yeyote akija lazia anyenyekee.
Wanajua sisi tunajali UTU na si VITU.
Wakenya hata ukiwa unamtukana na kumdharau, ili mradi umpe HELA, lazima atakunyenyekea.
Juzi wakenya wametoa povu jingi sababu ya yule ceo wa voda muegypty kukamatwa,kitu kama kenya akiwezekani,wanawaona watu weupe kama Mungu vile
😁😁😁😁 yaan hapo jina kali kbs ni kabacholi sijui mtunzi alifikiria nnKabla hata JPM, Nyerere ndio aliyo tujaza ujasiri wa kupambana na hii mijitu myeupe, kwa maneno ya kuwakejeli kama:
Mabeberu
Wanyonyaji
Kabacholi
Watu wa pinki
Na mengine mengi walahi
Hahahahaha, Kenya not yet Uhuru, hata Julius Malema anajua hivyo, Kenya "Mzungu" kwanza, hata WODE MAYA alikutana na hiyo hali hapo Kenya. Bure kabisaMzungu amefanya Tz shamba la bibi kupora kila kitu si tanzanite, gas na madini zingine kwa ukarimu na upole wa mtanzania ati hapendi vurugu ni mtu amani. Halafu mtanzania ananyanyaswa hata na waafrika wenzake...bure kabisa
Mgagaa na Upwa Dar is Slum hata huhitaji zaidi ya mita 200 kukumbana na slum 😀😀 jaribu kubadilisha gear sasa 😀😀
Ebu nielezee wametu https://jamii.app/JFUserGuide aje brain!?Nimecheka sana eti afande kavaa buts anamkimbia jamaa kavaa kandambili. Wakenya mko na shida pahala your not normal human beings japo hamjion these guys have f****cked up your brain.
Dar hamna slums,lete evidence kama dar kuna slum na Mimi nilete evidence ya slums zilizojaa nairoberryMgagaa na Upwa Dar is Slum hata huhitaji zaidi ya mita 200 kukumbana na slum 😀😀 jaribu kubadilisha gear sasa 😀😀
Yani kama ni mimi ni kumnyofoa huyo mzungu bandama na utumbo mzimaaa![emoji2][emoji2]
Yani kama ni mimi ni kumnyofoa huyo mzungu bandama na utumbo mzimaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app