Hivi ndivyo wakenya wanavyoiona Tanzania kwa sasa

Hivi ndivyo wakenya wanavyoiona Tanzania kwa sasa

si mmejaa propaganda
dunia mzima imeshawajua nyi ni wafichaji takwimu na mnawakandamiza wanahabari , sa mnafikiri mnatudanganya au nyi wenyewe mnajidanganya?
 
Wapi. Endeleeni kijifariji kwa story za abunuasi.
abunuasi unamjua kijana wangu[emoji16][emoji16].

abunuasi ni yule aliyefunga mipaka asijue atakula wapi[emoji23][emoji23]
 
Lipwa buku kumi kwa bill yangu Leo [emoji23][emoji23]
hela ya chakula tu huna,iwe 10 ya kunilipa mimi ninayelipwa na ccm!!!!
mwenyekiti kapiga pesa zote za michango usitegemee malipo mwezi hu.
 
Tatizo ni kwamba mtoa mada kama wenzako wengi lao kuu ni kujaribu kutuonyesha kwamba magu ni mbabe. Amebobea kiuongozi. Iwapo jambo hilo ni kweli na lipo, mbona kumtetea hivi vyote? Ama mnadhani wanaosoma mlioandika kwingine ni tofauti na watakaoyasoma haya? Tumewaelewa vizuri. Magufuli ni mkali as far as your knowledge goes.
Mkitaka haya yasitokee msiwe manawashwa sana kukosoa akifanya jambo kabla hajamaliza.

Hata mpira uwanjani dakika ni 90,goli linaingia dakima ya 5 unapita kwa wapinzani unawamwagia maji[emoji16][emoji16][emoji16],likirudishwa ukaongezwa wanakutia kidole.
 
mkitaka haya yasitokee msiwe manawashwa sana kukosoa akifanya jambo kabla hajamaliza.

hata mpira uwanjani dakika ni 90,goli linaingia dakima ya 5 unapita kwa wapinzani unawamwagia maji[emoji16][emoji16][emoji16],likirudishwa ukaongezwa wanakutia kidole.
Hivyo goli ni uoga? Let me help you...console yourself with this " cowards live long" otherwise 😆
 
Na wataiga sana mwaka huu. Ona Spain sasa

Capture 1.PNG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndarudia kwa kiswagili: Saa iliyo mbovu ama kuharibika huwa sahihi mara mbili kwa siku, haimanishi iko sawa. #CCM[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kwamba mtoa mada kama wenzako wengi lao kuu ni kujaribu kutuonyesha kwamba magu ni mbabe. Amebobea kiuongozi. Iwapo jambo hilo ni kweli na lipo, mbona kumtetea hivi vyote? Ama mnadhani wanaosoma mlioandika kwingine ni tofauti na watakaoyasoma haya? Tumewaelewa vizuri. Magufuli ni mkali as far as your knowledge goes.
Kenya hao
IMG-20200526-WA0038.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom