Hivi ndivyo watanzania masikini wanavyotumika nyakati za uchaguzi, Je baada ya hapo wanakumbukwa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele ya nyumba zao.

Sasa swali ni hili, baada ya chaguzi hizo kufanyika watu hawa hukumbukwa?

FB_IMG_1602762303501.jpg

FB_IMG_1575390792397.jpg

FB_IMG_1575390800494.jpg
 
U
Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele ya nyumba zao.

Sasa swali ni hili, baada ya chaguzi hizo kufanyika watu hawa hukumbukwa?

View attachment 1602454

View attachment 1602477

View attachment 1602478
Unataka naada ya uchaguzi waajoliwe au wajengewe nyumba?
Wakipelekewa huduma ya barabara ,umeme, maji, na mahospitali, hapo tayari wamekumbukwa, swara la wao kuishi nyumba nzuri ni la mtu mwenywe na bidii yake.
Kwani wewe usiyetumika na wanasiasa, je hupendi ghorofa na magari mazuri na upo mjini?
 
CCM imeinyonya Nchi hii kwa miongo mingi ni wakati wa kusema SASA BAASI!!!!

#NI YEYE 2020
 
Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele ya nyumba zao.

Sasa swali ni hili, baada ya chaguzi hizo kufanyika watu hawa hukumbukwa?

View attachment 1602454

View attachment 1602477

View attachment 1602478
Majungu kama haya na Unafiki kama huu ndiyo mliobaki nao tu Wapinzani wa Tanzania ila siyo Kujijenga na Kutafakari kwanini CCM inawashinda.
 
Hayo ni mapenzi binafsi ya hao watu na Nyumba zao. Ushuhuda huu ninao.

But,
Mtaniwia radhi wana Yanga.

Lakini kwa sasa CHADEMA hawana utofauti ya Yanga Lia lia.

Naamini wana yanga mmenisamehe kwa hili.
IMG_20201011_231116.jpg
 
Back
Top Bottom