Hivi ndivyo wema sepetu alivyo kongoroka kwa mkorogo...... Michirizi ya kizee yaanza kumtoka mwilini

Hivi ndivyo wema sepetu alivyo kongoroka kwa mkorogo...... Michirizi ya kizee yaanza kumtoka mwilini

Status
Not open for further replies.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri wema Sepetu ambaye ni miss Tanzania 2006..

Wema ambaye umri wake bado haujamtupa , hivi sasa anakabiriwa na tatizo la ngozi kutokana na michirizi kusambaa mwili mzima hasa mapajani....

Kamera zetu si mara ya kwanza kumshuhudia Mrembo huyu akizingirwa na uzee kwani miezi kadhaa nyuma tuliwahi andika habari inayofanana na hii lakini ikielezea zaidi michirizi ya mapajani....

Tofauti na hivyo, hivi sasa michirizi hiyo imekimbilia kifuani na mabegani hali inayoashiria kwamba siku si nyingi itahamia usoni...


"Ukweli Wema Sepetu sasa amebaki sura tu,mwili umemtupa kabisa .Nadhani hii yote inatokana na matumizi mabaya ya mikorogo"...alisema shuhuda mmoja akimtazama Wema sepetu aliyekuwa jaji katika shindano moja la umiss jijini Dar

3.jpg


Baada ya kumsikia shuhuda huyo akimtoa kasoro mrembo huyo, mwandishi wetu alitinga nyumbani kwa Wema Sepetu kufanya naye mahojiano juu ya jambo hili

Alipofika nyumbani hapo, mwandishi wetu aligonga geti na kufunguliwa na dada mmoja ambaye alidai kuwa maadam Wema alikuwa amelala na kwamba hawezi kuamshwa mpaka aamke mwenyewe..
 
hii yote udhalilishaji kwanin uweke picha yake hapo?kwani yanakuhusu nini dah wanwake wivu kweli kweli ndio zenu
 
Inaonesha hyo michirizi ni sababu ya kumwagiwa sha.ha.w.a mara kwa mara na kusabisha kubabuka
 
Kuna ushahidi gani hiyo miguu ni ya Siwema.....ups sorry.....Wema ?
 
Hv kweli wema kaharibika hv hizi picha umezitoa wapi mana ni za ndani mapaja?
 
Kwani mikorogo imeanza leo hakuna anayelazimishwa kupaka akicha omosex jalade na sisi tutaacha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom