Hivi Ndivyo Yanga Walifanya Kitu Mbaya Mayele.Awalaani Kwa Nguvu Zote.

Hivi Ndivyo Yanga Walifanya Kitu Mbaya Mayele.Awalaani Kwa Nguvu Zote.

Watanzania ni wakalimu sana... Au tuseme wanajua kupamba mnoooo... Wanaweza kukisifu kitu sanaaa... Ila kisiwe na ubora kama wanavyokisifu mfano:-
SGR
Mwendokasi
Masandawana
Mayele
Stand ya magufuli
Na mengine mengiiii...
 
Utopolo sio watu wazuri namna Mguu wa mayele ulivyo
images (6).jpeg
 
Watanzania ni wakalimu sana... Au tuseme wanajua kupamba mnoooo... Wanaweza kukisifu kitu sanaaa... Ila kisiwe na ubora kama wanavyokisifu mfano:-
SGR
Mwendokasi
Masandawana
Mayele
Stand ya magufuli
Na mengine mengiiii...
Bila kusahau Asha Ngedere, Mariam Biriani na Ashura Rwakatare.
 
Mpira ndio unaelekea mwishoni kelele sio za bureeee hizoooo
 
Hayo ndio mambo yanayowafaa nyie mikia. Mkacheze mpira wapi na wapi?. Ukuda,umbea umbea,sample zenu ndio hizo
 
Hapo viongozi wa Simba walioshindwa kuwatibu kina Phiri na Baleke hadi wakawaondosha na Kramo ambaye yupo yupo tu watajifanya kutaka kumsajili Mayele kwa ahadi za kumtibu ili tu kupoteza pesa za timu. Upuuzi kabisa.
 
Yaelekea Yanga ilimroga Mayele Hadi Leo hii Bado mguu wake umevimba 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C5nckZEs0AO/?igsh=bGt5ZGRjMmV6NGpi

dah hii dunia kila mtu anamaangaiko yake pole kwake ila anahuakika gani kuwa yanga ndio wamefanya mambo hayo machafu??

NB: Kwa heshima na nia njema, naomba upitie wasifu wangu na unisaidia ktk hitaji langu la ajira.
Mimi ni kijana mchapakazi na mwaminifu, miaka 32, makazi yangu Dar es Salaam. Nina shahada ya utawala, na uzoefu wa miaka 8 katika usimamizi wa miradi, utafiti, data entry, na usimamizi wa mitandao ya kijamii, pia nina ujuzi na uzoefu kwenye customer care, masoko, na mauzo. Naweza kusaidia katika kuandika maandiko mbalimbali ya kiofisi, miradi, tafsiri, na kubuni nakutengeneza tovuti kwa ubora.
Ninaomba fursa ya ajira na nipo tayari kufanya kazi mara moja mahali popote nchini.
Nipigie/text kwa 0769 055050. Asante!
 
Kuna yule kiungo wa yanga mkongo ambaye baadae alienda kucheza Ihefu. Akihojiwa na gazeti la mwanaspoti anasema kitu asichosahau akiwa yanga ni kupata majeraha akiwa amelala sebleni anaangalia tv.
Ni kweli kule utopolono yamejaa majini ndio maana siku wanashinda na timu ya Algeria wachezaji walikuwa wanajigongagonga na hata mamelody walipokuja walikuwa wakijigomga na kuanguka ovyo.
 
Back
Top Bottom