Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Kwa daktari; udaktari unapaswa uongee zaidi ya maneno.
Kwa mhandisi; uhandisi unapaswa uongee zaidi ya maneno.
Kwa mwanasheria; sheria inapaswa kuongea zaidi ya maneno.
Name them.
Kwa Mayele; mpira ulipaswa uongee kuliko yeye.
He should let his football do the talking.