GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama kuna Nchi ambayo dunia nzima Siasa zake si tu kwamba ni tamu kuzisikia na kuzitizama bali pia ni ' Komedi ' tosha kutokana na 'Vituko' vyake basi ni za nchini Tanzania. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida kabisa Watia nia ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini kutoka CCM, CHADEMA na ACT wameamua 'Kujipendekeza' Kuisaidia Timu ya Ligi Kuu ya VPL kwa nyakati tofauti ili iwasaidie Kuupata Ubunge.
Kutokana na kwamba Klabu hiyo ya Lipuli FC kuwa katika 'hatari' ya Kushuka Daraja Watia Nia ya Ubunge Iringa Mjini wameamua Kuitumia hii Timu kama Ngazi yao ya Kukubalika Kwao upesi na Wapiga Kura ili kuanzia Mwezi Oktoba au Novemba basi nao wawe Wabunge. Asubuhi Lipuli FC inakuwa Mali ya Mtia Nia wa CCM, Mchana Lipuli FC inakuwa Mali ya Mtia Nia wa ACT, Jioni Lipuli FC inakuwa Mali ya Mtia Nia wa CHADEMA, Usiku Lipuli FC inakuwa Mali ya Mkuu wa Mkoa na Usiku mkubwa anabaki nayo Mungu.
Na Mimi kuna Mtu Mmoja nasikia anataka Kugombea Ubunge Jimbo langu kwa 'Unafiki' wake akitia nia tu ' nitamuumbua ' Kweupe na hatopita!