Benjonathantz JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 237 Reaction score 52 Mar 2, 2017 #1 Sio uzee wala nini. Nimejikuta na log in kwenye ankaunti yangu ya JamiiForums baada ya muda mrefu, najikuta naona mapichapicha. Kuna mabadiliko mengi humu dah! Nahisi kutakuwa kwa moto sana. Nielekezeni Jamani twende sawa.
Sio uzee wala nini. Nimejikuta na log in kwenye ankaunti yangu ya JamiiForums baada ya muda mrefu, najikuta naona mapichapicha. Kuna mabadiliko mengi humu dah! Nahisi kutakuwa kwa moto sana. Nielekezeni Jamani twende sawa.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 35,812 Reaction score 107,628 Mar 2, 2017 #2 Twende sawa wap ww si umeshazeeka baki uote moto