Hivi ndo JamiiForums inatumikaje miaka hii?

Hivi ndo JamiiForums inatumikaje miaka hii?

Benjonathantz

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
237
Reaction score
52
Sio uzee wala nini. Nimejikuta na log in kwenye ankaunti yangu ya JamiiForums baada ya muda mrefu, najikuta naona mapichapicha.

Kuna mabadiliko mengi humu dah! Nahisi kutakuwa kwa moto sana.

Nielekezeni Jamani twende sawa.
 
Twende sawa wap ww si umeshazeeka baki uote moto
 
Back
Top Bottom