Hicho hapo chini ni kitanda cha rais wa zaire marechal mobutu,,enzi zake alikua akibonyeza remote ,hapo chini maji yanaachana,panel zinaachana kitanda kinaibuka kutoka chini,kilikua kinakuja na sanamu mbili za wanawake zilizoitwa "sleep " na "wake" ,kitanda hiki kipo kawele castle huko gbadolite,,maofisa wake wa ulinzi wanasema kabla hajaondoka wakati wa vita aliagiza jumba hili alilolijenga kwa ma million ya euro kulipuliwa,,,kila kitu kiliagizwa from europe