Hivi ndo vitanda 8 vya ajabu vinavyo tamba duniani

Hivi ndo vitanda 8 vya ajabu vinavyo tamba duniani

Joram Dymisster

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
502
Reaction score
429
1 - Hammock Bed

357_1.jpg


2 - The Hamburger Bed
357_2.jpg


3 - Ice Bed in the Ice Hotel

357_3.jpg


4 - The Pirate Ship Bed

357_4.jpg


5 - Swimming pool bed

357_5.jpg


6 - Star Wars Eta-2 Jedi Star Fighter bed

357_6.jpg


7 - The Birds Nest Bed

357_7.jpg


8 - Underwater Bed

357_8.jpg


WAWEZA TUMA CHA KWAKO TUKIONGEZE KWENYE LIST.......


chanzo;Priority10News
 
Viambie vitambe kuja na huku getto kwangu
 
Hicho hapo chini ni kitanda cha rais wa zaire marechal mobutu,,enzi zake alikua akibonyeza remote ,hapo chini maji yanaachana,panel zinaachana kitanda kinaibuka kutoka chini,kilikua kinakuja na sanamu mbili za wanawake zilizoitwa "sleep " na "wake" ,kitanda hiki kipo kawele castle huko gbadolite,,maofisa wake wa ulinzi wanasema kabla hajaondoka wakati wa vita aliagiza jumba hili alilolijenga kwa ma million ya euro kulipuliwa,,,kila kitu kiliagizwa from europe
4aa38b22368aaf045ade6b85fcadda10.jpg
 
What about kitanda cha labour, kitanda cha kubebea maiti(kwa wale waislam watanielewa), kitanda cha kuwekea maiti mochwari
 
Back
Top Bottom