Hivi ndoano za kuvulia samaki za kisasa zinauzwa bei gani?

Mkuu achana na ndoano utateseka bure,kuna haya madude unatega huku unapiga fegi ufukweni au unakuwa una mchumba unamshika shika chuchu baada ya masaa mawili unaenda kutoa mzigo wako,sikosi 10,000 mpaka 20,000 kila siku,siku hz samaki wamepungua lakin zaman tulikuwa tunapata mpaka laki kwa siku
Natumia kama hayo ila yenye mdomo mmoja,ila hii design nimeipenda ya midomo miwili nafikiria kuiunda,huwa tunatia na pumba laini za mpunga
 
Wanauza bei gani mkuu
 
Wakuu nimepata wazo la kua mvuvi lakini nataka nitumie ndoano katika shughuli zangu za uvivu hvo nilikua naulizia ndoano za kisasa na affordable kwa mimi mlala hoi, napia nikapata na bei ya life jacket na deli la kuhifadhia samaki nitashukuru
Mkuu shughuli za uvivu ni zipi hizo? 🙄🙄
 
Wakuu nimepata wazo la kua mvuvi lakini nataka nitumie ndoano katika shughuli zangu za uvivu hvo nilikua naulizia ndoano za kisasa na affordable kwa mimi mlala hoi, napia nikapata na bei ya life jacket na deli la kuhifadhia samaki nitashukuru
Tengeneza ndoano mwenyewe

Acha uvivu

Btw, Kama Bado unawaza ndoano karne hii ndio ikutoe pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…