Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wapi yanapatikana mkuu?Mkuu achana na ndoano utateseka bure,kuna haya madude unatega huku unapiga fegi ufukweni au unakuwa una mchumba unamshika shika chuchu baada ya masaa mawili unaenda kutoa mzigo wako,sikosi 10,000 mpaka 20,000 kila siku,siku hz samaki wamepungua lakin zaman tulikuwa tunapata mpaka laki kwa sikuView attachment 3189722
Natumia kama hayo ila yenye mdomo mmoja,ila hii design nimeipenda ya midomo miwili nafikiria kuiunda,huwa tunatia na pumba laini za mpunga