Hivi Ndugai hawezi kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge?

Hivi Ndugai hawezi kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge?

Nadhani ni wakati muafaka kwa Jobo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge ili aeleze kwa nini awamu ya tano hakuwahi kuhoji kuhusu serikali kukopa? Awamu ya tano ilikopa takribani trillion 29, leo anahoji serikali ya mama kukopa
Mheshimiwa Ndugai ana muonea Mama Rais wetu mpole hakuweza kumfanyia simba wanyika RIP Magufuli angelikwenda na maji.
 
Back
Top Bottom