Hivi neno 'Pumbavu' ni tusi ama la!

Hivi neno 'Pumbavu' ni tusi ama la!

Saint Leo

Member
Joined
Nov 9, 2018
Posts
46
Reaction score
57
Habarini wakuu, m nmependa kuleta kwenu hili neno, hivi neno "

MPUMBAVU'

ni tusi au siyo tusi , kwa jins wewe unavyolichukulia, sabab hili neno limetumika mpka kwenye vitabu vya dini i.e.bibble
 
Ni sifa mkuu, ndiyo maana jpm alisema kuna baadhi ya mawaziri wake ni wapumbavu na wao wakakaa kimya tu
 
Kwani james delisious uk
imwita mseenge unemtukana
 
Back
Top Bottom