Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SHOW SHOW
UBABE UBABE
KUKAZA KUKAZA
KUKOMAA KOMAA
Mi nitaeleza ninavyoelewa.
Mi nitaeleza ninavyoelewa.
Mkuu ulishawahi kuota unakimbizwa halafu miguu inakuwa mizito huwezi kukimbia..? Basi huo ndo unyama na unyama unyamani ni ile katika kukimbizwa huko ukadondoka haloo unaweza jikojolea kitandani kabisa kuonyesha unyama zaidi.
eee ndio hivyo yaani[emoji1787]aisee
Unyama ni umbuzi upunda Utembo usimba Unyani nk
unyama una maana nyingi sana
unyama una maana nyingi sana
1. kumfanyaia mtu viendo vya kikatili mfano ,,''kamuua kinyama sana''
2. Kufanya kitu kama mpinzani wako alicho kufanyia mfano mtu alikudhurumu pesa yako na wewe siku ukakutana naye ukachukua viatu vyake utasikikia hapa unyama unayama tuu
3.Kuwa na hali fulani ya juu inaweza kuwa namna ya uvaaji , au gari zuri au kitu chochote kizuri ambacho mtu anakikubali utasikia ..yule jamaa ana unyama sana huwezi kulinganisha na huyu boya
Lina maana undava undava yani
Mkuu uko na unyama mwingi sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nitaeleza ninavyoelewa.
Mkuu ulishawahi kuota unakimbizwa halafu miguu inakuwa mizito huwezi kukimbia..? Basi huo ndo unyama na unyama unyamani ni ile katika kukimbizwa huko ukadondoka haloo unaweza jikojolea kitandani kabisa kuonyesha unyama zaidi.
Matendo yasiyopendeza...