kishimba75
Member
- Feb 7, 2013
- 32
- 6
Mimi ni mwananchama wa NHIF (NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND) dukuduku langu ni kutaka kujua eti huduma ya matibabu ya meno hailipiwi na huu mfuko. Mn nimetembele hospitali moja leo nikiwa na tatizo meno kuuma nilipofika hapo hospitali wakasema natakiwa kusafishwa meno lkn kusafisha meno ni laki moja, na hii huduma.NHIF hailipi kwa huduma hizi lazima.nilipe.toka mfukoni mwangu ss ebu nijuzeni ili jambo ni kweli, mana mhusika kanifafanulia eti NHIF hawatambui matibabu ya kusafisha meno ss sijui wao NHIF wanatambua nini.
Mimi mdau Kishimba75
Mimi mdau Kishimba75