Hivi NHIF haihusiki katika matibabu meno?

Hivi NHIF haihusiki katika matibabu meno?

kishimba75

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
32
Reaction score
6
Mimi ni mwananchama wa NHIF (NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND) dukuduku langu ni kutaka kujua eti huduma ya matibabu ya meno hailipiwi na huu mfuko. Mn nimetembele hospitali moja leo nikiwa na tatizo meno kuuma nilipofika hapo hospitali wakasema natakiwa kusafishwa meno lkn kusafisha meno ni laki moja, na hii huduma.NHIF hailipi kwa huduma hizi lazima.nilipe.toka mfukoni mwangu ss ebu nijuzeni ili jambo ni kweli, mana mhusika kanifafanulia eti NHIF hawatambui matibabu ya kusafisha meno ss sijui wao NHIF wanatambua nini.

Mimi mdau Kishimba75
 
Hivi hawa jamaa wa NHIF wanatoa huduma kwa Individuals au ni lazima uwe umeajiriwa?
 
stephot: mbona unaenda ambavyo sivyo si upost topic yako usaidiwe kuliko kudandia za wenzako na kupindisha mada na kuwachanganya wachangiaji.
 
Last edited by a moderator:
Nachojua kampuni nyingi za bima hata za binafsi huwa hazitoi huduma ya meno na macho ktk bima zao coz ni expensive sana.

Labda uwe umechukua daraja bora kabisa.. A.

Kwa hyo sishangai kama, NHIF hawatoi hyo huduma.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom