A
Anonymous
Guest
Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo.
Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza uongozi wao ni kwamba NHIF hajalipa wengine kwa miezi kadhaa mfululizo.
Kuna hospitali zishaanza mipangonyakupunguza wafanyakazi na nyingine zinapumulia juu juu kwa sababu ya madeni na mabenki, yote ukiuliza unaambiwa NHIF!
Hili tatizo la kushikilia malipo ya watu wakati wateja wenu washapewa huduma mtaliacha lini, mlipunguza kidogo awamu fulani lakini baada ya uchaguzi naona mmendelea na full force. Hivi mnataka kuangamiza vituo vya afya binafsi moja kwa moja?
Ni heri mkasema tu mnaondoa vituo vya afya binafsi kwenye bima hii mbaki serikalii lakini watu wanakopa kujenga mahospitali na vituo kisha wanaenda kufilisiwa na mabenki kwa kuwapa huduma wateja wenu. Mmefeli na taasisi hii ishaoza!