A
Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo.
Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza uongozi wao ni kwamba NHIF hajalipa wengine kwa miezi kadhaa mfululizo.
Kuna hospitali zishaanza mipangonyakupunguza wafanyakazi na nyingine zinapumulia juu juu kwa sababu ya madeni na mabenki, yote ukiuliza unaambiwa NHIF!
Hili tatizo la kushikilia malipo ya watu wakati wateja wenu washapewa huduma mtaliacha lini, mlipunguza kidogo awamu fulani lakini baada ya uchaguzi naona mmendelea na full force. Hivi mnataka kuangamiza vituo vya afya binafsi moja kwa moja?
Ni heri mkasema tu mnaondoa vituo vya afya binafsi kwenye bima hii mbaki serikalii lakini watu wanakopa kujenga mahospitali na vituo kisha wanaenda kufilisiwa na mabenki kwa kuwapa huduma wateja wenu. Mmefeli na taasisi hii ishaoza!
Dude linaloitwa NHIF ni utapeli mtupu na uswahili uswahili mtupu ni suala la muda tu.Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo.
Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza uongozi wao ni kwamba NHIF hajalipa wengine kwa miezi kadhaa mfululizo.
Kuna hospitali zishaanza mipangonyakupunguza wafanyakazi na nyingine zinapumulia juu juu kwa sababu ya madeni na mabenki, yote ukiuliza unaambiwa NHIF!
Hili tatizo la kushikilia malipo ya watu wakati wateja wenu washapewa huduma mtaliacha lini, mlipunguza kidogo awamu fulani lakini baada ya uchaguzi naona mmendelea na full force. Hivi mnataka kuangamiza vituo vya afya binafsi moja kwa moja?
Ni heri mkasema tu mnaondoa vituo vya afya binafsi kwenye bima hii mbaki serikalii lakini watu wanakopa kujenga mahospitali na vituo kisha wanaenda kufilisiwa na mabenki kwa kuwapa huduma wateja wenu. Mmefeli na taasisi hii ishaoza!
ChoiceVariable na chawa mwenzake Troll JF wanakuambia nchi sasa hivi inajitegemea. na wanalishwa hizo data za kupika ni kina Kitila Mkumbo. Ila uhalisia unakataaUkiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo.
Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza uongozi wao ni kwamba NHIF hajalipa wengine kwa miezi kadhaa mfululizo.
Kuna hospitali zishaanza mipangonyakupunguza wafanyakazi na nyingine zinapumulia juu juu kwa sababu ya madeni na mabenki, yote ukiuliza unaambiwa NHIF!
Hili tatizo la kushikilia malipo ya watu wakati wateja wenu washapewa huduma mtaliacha lini, mlipunguza kidogo awamu fulani lakini baada ya uchaguzi naona mmendelea na full force. Hivi mnataka kuangamiza vituo vya afya binafsi moja kwa moja?
Ni heri mkasema tu mnaondoa vituo vya afya binafsi kwenye bima hii mbaki serikalii lakini watu wanakopa kujenga mahospitali na vituo kisha wanaenda kufilisiwa na mabenki kwa kuwapa huduma wateja wenu. Mmefeli na taasisi hii ishaoza!
Kufanya kazi na sirikali inahitaji moyo sana ,fedha wafanyakazi wanachangia ONTIME inakuwaje hospital hawalipwi? Mipuuzi kama hiyo iliyopewa majukumu ndiyo iliyosababisha mpaka Aghakhan ikajitoa.Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo.
Mpaka sasa wafanyakazi wa sekta ya afya binafsi wengi hawajalipwa, na sababu kubwa wakiuliza uongozi wao ni kwamba NHIF hajalipa wengine kwa miezi kadhaa mfululizo.
Kuna hospitali zishaanza mipangonyakupunguza wafanyakazi na nyingine zinapumulia juu juu kwa sababu ya madeni na mabenki, yote ukiuliza unaambiwa NHIF!
Hili tatizo la kushikilia malipo ya watu wakati wateja wenu washapewa huduma mtaliacha lini, mlipunguza kidogo awamu fulani lakini baada ya uchaguzi naona mmendelea na full force. Hivi mnataka kuangamiza vituo vya afya binafsi moja kwa moja?
Ni heri mkasema tu mnaondoa vituo vya afya binafsi kwenye bima hii mbaki serikalii lakini watu wanakopa kujenga mahospitali na vituo kisha wanaenda kufilisiwa na mabenki kwa kuwapa huduma wateja wenu. Mmefeli na taasisi hii ishaoza!
Yaani kama hujakata hicho kinachoitwa bima afu ukaugua au kuuguliwa unaweza kudanganywa sana na maneno au porojo za wanasiasa NHIF hamna kitu totallyChoiceVariable na chawa mwenzake Troll JF wanakuambia nchi sasa hivi inajitegemea. na wanalishwa hizo data za kupika ni kina Kitila Mkumbo. Ila uhalisia unakataa
Ninyi waandishi ulizeni kama haziendi kujenga kizimkazi kule kwetu Zinjibara.Ukiachana na kuporomoka kwa ubora wa huduma na kupewa dawa za bei ya chini kabisa, NHIF inaenda kusababisha janga jengine la kufilisi hospitali na vituo kwa kuendeleza mchezo wao wa kushikilia malipo.