Hivi ni hapa Dar tu ndio jua linapiga kiasi hiki au ni Tanzania nzima?

Hivi ni hapa Dar tu ndio jua linapiga kiasi hiki au ni Tanzania nzima?

Binadamu hawaridhiki,ikinyesha mvua bado tutalalamika barid likiwa kali napo vile vile lazima tulalamike
 
Chek ngoma hyo Njombe
 

Attachments

  • Screenshot_20231019-153106.png
    Screenshot_20231019-153106.png
    109.7 KB · Views: 2
Wanasema serikali haitaki kusema ukweli ila inajua kuna jua la pili limeongezeka..🤣
 
Back
Top Bottom