Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Tanzania nzima kuna jua kali sana na hii inaweza kua ishara ya mvua kubwa sana hivi karibuni. jua likiwaka sana hivi, evaporation inafanyika kwa wingi sana hivyo maji huko juu yanakuwa mengi, yakishuka nadhani ndio itakuwa hiyo sunami wanayotutisha nayo.Aisee jua linapiga dar hii
Jua linapiga hadi mfukoni 😂
tafta hela kwani darslum hamna sehemu zenye baridi😂 unakaa rangi tatu?Jua linapiga hadi mfukoni 😂
Aisee njoo huku na maswetaHili jua la chuga ni lingine kabisa
Njoo inbox my loveHapana hata Arusha
Na ndio hapa linachoma hatari
Ingekuwa 30 sijui View attachment 2786314
Nipo mpitimbi mkuu sikai daslamu, daslam ina wenyewe bhana kina Lamomytafta hela kwani darslum hamna sehemu zenye baridi😂 unakaa rangi tatu?
Aise linapigiza hatari,Aisee jua linapiga dar hii
Kama wako Gaza vile 😅😅Poleni maana jua kali ,umeme hakuna,alafu shida ya maji
Ova
Kumbe upo RuangwaHujafika Ruangwa.. dar muingie limijo class
[emoji257]Kwann si salama kwa afya yangu waijua
vizur kula na wenzio