Hivi ni Hoteli ngapi za kitalii zime binafsishwa hadi sasa?

Hivi ni Hoteli ngapi za kitalii zime binafsishwa hadi sasa?

Chanazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2010
Posts
212
Reaction score
64
Kuna jambo linanitatiza wana JF...
Hivi Hotel ngapi/zipi zilikua za serikali ya Jamuhuri ya Muungano ambazo zilitaifishwa kwa wawekezaji? Performance za hizi hoteli baada ya kubinafsishwa zikoje??
me nazifahamu chache za hapa mjini, kama Embassy, kilimanjaro,Gogo Hotel,New Africa Hotel, Dodoma Hotel ya Dom, Mount Meru Hotel,...
Nipatieni Majibu niutue mzigo watanzania wenzangu
 
Zote zinafanya kazi kasoro mikumi iliyoungua moto na Embassy ambayo imetelekezwa. Kuna hotels nyingine zinafanya vizuri sanaa, nyingine hazifanyi vizuri, ila kwa ujumla ubinafisishaji wa hizi hotels umeleta tija interms of ajira na kulipa kodi lakini pia ku boost tourism industry
 
Kwa Arusha zilikuwepo.
- 77 HOTELI

- Mount Meru
Hizi ziko Hifadhini na ni moja kati ya hoteli zenye mvuto wa ajabu

1. Lake Manyara Hoteli

2. Ngorongoro Wildlife Lodge

3. Seronera Wildlife Lodge

4. Lobo Wildlife Lodge

Hizo hoteli hapo juu nne za kwenye hifadhi zinafanya kazi ila ziliuzwa kwa bei ya Nyanya na aliuziwa Mwarabu mmoja hivi
 
Kuna jambo linanitatiza wana JF...
Hivi Hotel ngapi/zipi zilikua za serikali ya Jamuhuri ya Muungano ambazo zilitaifishwa kwa wawekezaji? Performance za hizi hoteli baada ya kubinafsishwa zikoje??
me nazifahamu chache za hapa mjini, kama Embassy, kilimanjaro,Gogo Hotel,New Africa Hotel, Dodoma Hotel ya Dom, Mount Meru Hotel,...
Nipatieni Majibu niutue mzigo watanzania wenzangu
Unakusanya data kwa ajili ya nini ama utazirejesha. Kumbukumbu inayo Kamati ya Kudumu ya Bunge ambayo Mwenyekiti wake ni Mh. James Lembeli.
 
Thanks.. Nataka kufanya analysis tu
 
Kwa Arusha zilikuwepo.
- 77 HOTELI

- Mount Meru
Hizi ziko Hifadhini na ni moja kati ya hoteli zenye mvuto wa ajabu

1. Lake Manyara Hoteli

2. Ngorongoro Wildlife Lodge

3. Seronera Wildlife Lodge

4. Lobo Wildlife Lodge

Hizo hoteli hapo juu nne za kwenye hifadhi zinafanya kazi ila ziliuzwa kwa bei ya Nyanya na aliuziwa Mwarabu mmoja hivi

Thanks kaka...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom