Unakusanya data kwa ajili ya nini ama utazirejesha. Kumbukumbu inayo Kamati ya Kudumu ya Bunge ambayo Mwenyekiti wake ni Mh. James Lembeli.Kuna jambo linanitatiza wana JF...
Hivi Hotel ngapi/zipi zilikua za serikali ya Jamuhuri ya Muungano ambazo zilitaifishwa kwa wawekezaji? Performance za hizi hoteli baada ya kubinafsishwa zikoje??
me nazifahamu chache za hapa mjini, kama Embassy, kilimanjaro,Gogo Hotel,New Africa Hotel, Dodoma Hotel ya Dom, Mount Meru Hotel,...
Nipatieni Majibu niutue mzigo watanzania wenzangu
Kwa Arusha zilikuwepo.
- 77 HOTELI
- Mount Meru
Hizi ziko Hifadhini na ni moja kati ya hoteli zenye mvuto wa ajabu
1. Lake Manyara Hoteli
2. Ngorongoro Wildlife Lodge
3. Seronera Wildlife Lodge
4. Lobo Wildlife Lodge
Hizo hoteli hapo juu nne za kwenye hifadhi zinafanya kazi ila ziliuzwa kwa bei ya Nyanya na aliuziwa Mwarabu mmoja hivi