Kuukana uraia kwa kupata uraia was nchi nyingineHivi ni jambo gani kutokana na sheria za nchi raia anaweza kulifanya na akafukuzwa nchini kwake akaishi uhamishoni moja kwa moja au kwa muda wa miaka kadhaa?
Hebu wajuvi tiririkeni hapa...!!
Kuukana uraia kwa kupata uraia was nchi nyingine
Tofauti na hilo la dual citzenship hakuna jambo lingine?Chukua uraia wa nchi nyingine, halafu wajulishe watu wa uhamiaji. Dual citizenship hairuhusiwi Tanzania, so itakubidi kuukana uraia mmojawapo, ukane uTanzania.
Tofauti na hilo la dual citzenship hakuna jambo lingine?
Zipo case za miaka ya nyuma nimewahi zisikia wakati wa utawala wa JK Nyerere kuwa kuna watu waliwahi fukuzwa wakaishi uhamishoni kwa miaka mingi!
Hao case yao ulikuwaje..?
unataka ufukuzwe?Hivi ni jambo gani kutokana na sheria za nchi raia anaweza kulifanya na akafukuzwa nchini kwake akaishi uhamishoni moja kwa moja au kwa muda wa miaka kadhaa?
Hebu wajuvi tiririkeni hapa...!!
Mkuu kabla sijajibu nilitaka kujua kwanza lengo lako...Jikite kwenye majibu mkuu...