Zack Snyder
Member
- Apr 13, 2020
- 83
- 297
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah kwa kweli dawa ni kuwakataa tu wote aiseMie ndio maana nawakataa wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha nilikonecti tu dots nilivyomuuliza wala hakukataa akanithibitishia no kweli[emoji23][emoji23][emoji23] watu wana makusudi dunia hii. Hatukuwa na uhusiano wa kimapenzi though
Habari za jela ??Hakuna jibu la kunikatisha matumaini. Nikitaka kukupata lazima nikutafute kwa udi na uvumba
Ikiwezekana nakuambukiza corona halafu nakuja kukuuguza. Ukipona tu naweka mazingira ya kukupata kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app
ThubutuKulwa.
Id zangu nyingine zote ulinikubalia.
Kama unabisha sema nikuthibitishie😁Thubutu
Vigezo ni vipi mpaka mtu akupm? Umfate pm?Ukisubiri kupata utachelewa embu kamPM Zoë
Leo kwenye huu uzi.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] huu uchochezi umeanza lini eti
Changamka na ww nimekurahisishia kazi. Yani kusokomeza tu tonge nawe unashindwa.Vigezo ni vipi mpaka mtu akupm? Umfate pm?
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mimi nimemsahauNi nani huyo?[emoji16][emoji16]
Mkumbuke bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mimi nimemsahau
Naona unasambaza upendo 👍🤝🤝
Vibaya hivyo jamani...my dear[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah kwa kweli dawa ni kuwakataa tu wote aise
Hahah ndiyo Chief..Naona unasambaza upendo [emoji106][emoji1666][emoji1666]
Nikimkumbuka nitakuambia [emoji16]