Mh ngoja tuone[emoji848][emoji848]Nikimkumbuka nitakuambia [emoji16]
Si ndo ni hawahwa wanatongoza wake za watu ? Kwa nini akuachie vumbi single mama ?Ukiandika Single Mama pm utaachiwa vumbi hutoamini.
Hahahaa ni kweli kabisaUkiandika Single Mama pm utaachiwa vumbi hutoamini.
Nilimwambia mtu nipo Songea akasepa.
Na wewe mbona umepotea? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hapana Mchumba Nip
Ahahaahahaa nzuri mamaaaa.Habari za jela ??
Haha hebu huko, umeziona kwa profile.Ahahaahahaa nzuri mamaaaa.
Nasikia kipindi sipo uliporomosha nyuzi za kufa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mambo ? , mahali siku yoyote tu, alafu umenikumbusha ngoja nimtafute babe maana leo sijamchekiWewe na mdogo wangu Lenie mahari mnaleta lini sasa.??
πnaam babe, i had a busy day ndo maana nimechelewa kukujibu
kabisa shemGod forbid..!!
Sijui vijana wetu wa kiume huwa wanapatwa na nini maskiini.!!
Mungu tu aziponye hizi roho.!!
Big brainMimi huwa najibu ukweli wangu, sidanganyi wala simjibu mtu vibaya ILA sijibu kila PM.
Kuepuka kutoa hayo majibu ya makali au ya uongo huwa nachagua kutokujibu kabisa.
Hahaha..!
Pole mkuu,
Msiwe mnatukimbia sasa.!!
[emoji3][emoji3] hlf hata sikumbuki kama ilikuwa ni wewe, simkumbuki huyo mtuHapana Mchumba Nip
ila iyo ya Songea [emoji38][emoji38][emoji38]
haya bhana umeniweza
Hahahahaa. Marhabaaaa nimeipokea shikamoo yako mdogo. πππHahaa..
Shikamoo dada..
Mimi mwenzio nakupendaga tu..!!
Habari ya wewe Mtani!!Hahahahaa. Marhabaaaa nimeipokea shikamoo yako mdogo. [emoji85][emoji85][emoji85]
Kama mimi tu mdogo wangu wajua vile nakupendaga pia. [emoji7]
Mie niko mzima kabisa Mtani.