Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Haha.!
Kuliko ubunu hiyo mbunu, it's better utumie ile yako yenye mistari mikali na madini ya kutosha.!!

Kuhusu swali lako, 'Life ain't that serious and complicated always rafiki..!
πŸ˜…
Naruhusiwa kuja piemu kuja kukupiga msasa kiswahili maana huko kubunu mbunu mwizio siwezi!!,nimekuwa taabani juu yakoπŸ˜‰
Nifungulie mlango nikuonyeshe mapango.. sema nami binti malkia nikuonyeshe unavyonivutia!
Kaa nami nikuite dia uone mlango wa rupia..
Wasemaje binti Carleen ulieumbika kimaumbile mpaka chini..??πŸ˜‰
 
On a serious note,
Hivii Kenzy umewahi waza kutumia hiyo kipaji uko nayo.!??
 
I am impressed.!!

Naamini (I'm nuh so sure though) uliwahi sema pahala maana ya ID yako ila unluckily sijawahi fanikiwa kuona wala kufahamu, would you please do me a favor, useme tena ina maana gani just this once? Huwa natamani kweli kujua.!
 
Na wale ambao hawajawahi kujibiwa pm wanacomment wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa sijui hata aliwaza nini!!
Mana hapa waathirika wengi jinsia yao inajulikana. Au ndio anataka waje wakiwa wakali kama nyuki. πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila Mdogo wangu huyu huwa ni mchokozi mchokozi siku zote sasa leo kajikalia huko akaona hebu leo awachokoze watu wakumbuke enzi hizoooo mana wanaokutana na hizi mambo huwa ni pale mtu anapokuwa mgeni mgeni au akiona mdada mgeni basi kutwaa kwenye PM za watu, akishapazowea JF basi anasahau nini alifanya au alimfanyia mtu enzi hizo akiwa na kamba mguuni. Hahahahahaaaaa. Teh teh
 
you're so smart C'ssy and I do appreciate you.!
you nailed it.!!
 
Ana kauchokozi sana, na ipo damuniπŸ˜‚ Ila bora tucheke tuongeze siku za kuishi
 
😁 Wanakuwa na bashasha kweli ila ukimpa mawili matatu ndivyosivyo tofauti na alivotegemea lazima asepe! Lakini ndo vizuri maana maswali mengi kama unajaza fomu ya Nida bhana!.
Hahaha..!
Kaah'..! Umenichekesha sana! Vile sipendi maswali ndiyo maana sikuwahi penda mitihani.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…