Hivi ni jukwaa gani humu JF hujawahi kuingia tangu uzaliwe?

Hivi ni jukwaa gani humu JF hujawahi kuingia tangu uzaliwe?

Mie sijawahi kabisa kutembelea jukwaa la WAKUBWA

sexy-black-women.jpg

lipo humu jf
 
Kenya! Hebu nishawishini kwa nini niingie huko!
 
Mimi kule kwa wakenya nimetembelea mawili tuu... Na premium member bado
 
Wow,nakupenda Arabela wangu halafu unajua kuwa Zubedayo kanitishia mmaisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom