Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Manati? Kidudegani kisicho chomoka kwenye manati?Alikua anazungumzia kidude cha manati
Yes ukiichunguza utajuaManati? Kidudegani kisicho chomoka kwenye manati?
kile kingozi kinachowekewa goroli kwenye manatiManati? Kidudegani kisicho chomoka kwenye manati?
KwioKatika kibao chake kiitwacho Baba Lao, nyota wa muziki anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania Diamond Platnumz ameimba maneno haya katika moja ya verses kwenye wimbo huo
"Eeeh! Tumewachapa (Kidude) Hakichomoki (Kidude) Kimewanasa (Kidude) Wanatapatapa (Kidude)"
Hicho kidude anacho kiimba Diamond ni kidude gani?
HahahaaaaHuu wimbo una vibe la kichizichizi. Ukihangaika kuuelewa utajipa tabu tu.
Ngoma kwa ngoma ni kopokopo!
Kwio
Jr[emoji769]