Hivi ni kipi hasa kinachoifanya TFF ishindwe kumiliki media zake?

Hivi ni kipi hasa kinachoifanya TFF ishindwe kumiliki media zake?

Wazo lako nimelielewa sana ya kwamba pesa nyingi za TFF huliwa na wajanja kwa utaratibu wa kukata tiketi mlangoni!

Pesa ya mlangoni ni pesa ndogo sana kati ya nyingi ambayo TFF inapata kila mwaka, wataka kujua zaidi?
 
Mmmmhh.. sidhani kama kuna kiongozi wa soka aliyewahi angalau kuliwazia hilo.
 
t.f.f inamilikiwa na c.c.m wapo kwa maslahi yao sio ya wananchi wote poleni mpira wa tanganyika.
 
Kama umewahi kuwa kiongozi unaweza kujua ilivyo ngumu kuanzisha kitu kipya...

Ukweli ni kwamba washabiki na wanachama wengi wana uelewa mdogo sana. ..hivyo vikwazo ni vingi.

Washabiki wazozaji tu.
 
ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO.
USTAWI WA NCHI YETU NI JUKUMU LA KILA MMOJA WETU NA UNAANZA NA WEWE.
TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.
 
Back
Top Bottom