Wazo lako nimelielewa sana ya kwamba pesa nyingi za TFF huliwa na wajanja kwa utaratibu wa kukata tiketi mlangoni!
Pesa ya mlangoni ni pesa ndogo sana kati ya nyingi ambayo TFF inapata kila mwaka, wataka kujua zaidi?
t.f.f inamilikiwa na c.c.m wapo kwa maslahi yao sio ya wananchi wote poleni mpira wa tanganyika.
Daaah kitambo sana mkuuENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO.
USTAWI WA NCHI YETU NI JUKUMU LA KILA MMOJA WETU NA UNAANZA NA WEWE.
TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Infantry Soldier bila shaka hii ilikuwa ni ID yako nyingine na imekula BAN. Safi sana Mods.Good
Rais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetu.Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.