Daraja la mfugale... Kwa ajili ya Mabeberu na viongozi from AIRPORT TO CITY CENTER... .Kumbe Mkuu impongo hao tunawaita mabeberu pale tunapowaponda, lakini tunapowanyenyekea na wanapotupa misaada, jina lao linabadilika na kuwa wahisani?
Waziri aliyehusika kwenye ujenzi huo Ndy hana mipango!Meya wa Jiji hana mipango!
Tunajionea tu Mkuu Abul Aaliyah kila siku Jiwe akijigamba hadharani kuwa hii ni nchi tajiri sana, tunaweza kuwa "donor country"
Mvua zikiisha nyinyi nyote mnao lalama mtaungana na serikali kusahau daraja la jangwani! Mtaanza tena kipindi cha masika. Mtasahau tena baada ya masika kwisha. Hivyo hivyo mpaka mnazeeka. Au mnahamia chama tawala na kufumbuka macho.Tunajionea tu Mkuu Abul Aaliyah kila siku Jiwe akijigamba hadharani kuwa hii ni nchi tajiri sana, tunaweza kuwa "donor country"
Hivi kweli nchi tunayoambiwa ni tajiri sana, inaweza kusumbuka kila leo na hii adha ya kufungwa daraja la Jangwani kila mara?
Hiyo ndo inatakiwa siyo ngonjera za kujengaKuna mapendekezo niliyatoa humu namna ya kushughulia suala la mto Msimbazi.ngoja niyatafute!
Tatizo lako wewe mtoto wa juzi! Wakati kajima anakamilisha hilo daraja lilikuwa juu sana. Uchafuzi wa mazingira umesababisha Mchanga na takataka kujaa. Hata wakiinua vipi bila mkakati wa kupambana na uharibifu wa mazingira ni kazi bure. Aidha kama umeishi ulaya, utakuwa umeona jinsi vijito na mito inavyotunzwa! Lazima tuwe na culture ya kutunza mazingira si kila siku kujenga. Daraja hili linakupigisha kelele kila siku. Shame on you