Hivi ni kipi kilipaswa kujengwa kwanza, ni kuinua daraja la Jangwani au kujenga Daraja jipya la Salenda hadi Coco beach?

Nakushukuru sana! Environmental Impact Assessment nani alifanya? Je, waliruhusiwa na NEMC?
 
Ubalozi wa UK uko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwahi toa maoni yako kabla ya mchakato?,au ndio ile kutafuta sifa jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili daraja la jangwani ni mipango tu ya upigaji
Vipi toka lijengwe halijasafishwa ilikua kazi ya kuliondolea mchanga nakuliachia kile kina cha zamani ili maji yapite kwa kasi ileile sio kuwa hawajui nini kinahitajika ila ni kusudi tu za kukomoa ili wapate utaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza kwani njia za kuingilia City Center zipo ngap?

Watanzania tuache Majungu na Umbea tupige kazi yaaani we Umeona jangwani tu.

Usifanye Mawazo yako yakawa ndiyo kipaumbele Cha Jiji kwanini wasijenge Jangwan wamejenga sarenda hayo Ni matumizi Mabaya ya akili.

Tafuta pesa usiipangie Serikalin Nini Cha kufanya we tulia watashughulikia wao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubalozi wa UK uko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ubalozi wa UK toka Uhuru ni nyumba ya kwanza mtaa wa Kenyatta Drive kwenye mataa ya Ally Hassan Mwinyi na Kinondoni Road.

Kwenye nyanja za diplomasia nyumbani pia ni ubalozi ndio maana unaweza kukimbilia nyumbani kwa balozi nyakati za uchaguzi wa vi third world dictatorships vyetu ( remember comrade Morgan Tsvangirai, RIP).

Anyhow, ndipo daraja jipya litakapoishia. Haliendi Coco Beach. Coco Beach iko Masaki. Hili daraja halitoki Sea View kwenda Masaki, I mean, hatujengi Kun Shan Grand Bridge la China!

Now, the pressing question is litapunguza vipi foleni ya kutoka mjini kama magari yake hayapitilizi, yanakuja kumwagwa mataa ya Ubalozi wa UK, hapo Ally Mwinyi na Kinondoni Road / Stanbic Bank?
 

Ahsante sana kiongozi,Naomba mimi mchango wangu ujikite kwenye chanzo.

Mto Msimbazi ni miongoni mwa mito ya jiji la Dar es Salaam,mto huu chanzo chake ni kwenye vilima vya pugu na mdomo wa mto huu ndio pale daraja la Selander.

Kulingana na kukua kwa shughuli za binadamu tumeshuhudia uharibifu mkubwa sana wa mazingira kwenye vyanzo vya mto huu kule Pugu ,uharibifu huu unafanya mvua zikinyesha zilete mchanga ambao unaishia Jangwani,hivyo ni muhimu sana kwa serikali na washika dau wengine kupanda miti na kutunza mazingira ya mto huu kwanza kwa sababu madhara ya mchanga huu ni kukua kwa kiwango cha mafuriko hii ikimaanisha Kariakoo pia hatarini kupata mafuriko miaka inavyozid kwenda mbele.
 
Nilisema ingekuwa busara hata kama kungejengwa daraja lingine Hananasif mpaka Upanga/ Muhimbili.

Na bado, sasa hivi wanataka kujenga daraja kwenda Zanzibar!
Hili jambo nimekuwa nikifikiria toka siku nyingi sana, hii stratergically ingepunguza msongomano na pia kufupisha safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…