Ya Kilimanjaroumekula maharage ya wapi mkuu?
Mpira ni uwanjani,ubingwa haupo mdomoni
Na kumsajili yeyote kutoka yanga na kumuonesha kwenye simba dayMbona wamezoea kwani huu mwaka wa ngapi ubingwa was VPL wanausikia redioni ?
Viongozi watawapoza mashabiki kwa kukata rufaa FIFA maana hamna atayeuliza imefikia wapi baada ya miezi kadhaa.
Points zimebaki 6 simba ana 46 michezo 20 yanga ana 40 michezo 19 patamu hpo yanga akifanya kweli game ijayo gape litabaki points 3 kwa gape hili wakija kukutana kwa mchina ple hyo tarehe 28 uchawi wke utakuwa sio wa dunia hii atakufa mtu!Hivi point zimebaki ngapi? 5 au 3??