Hivi ni kipi kitatokea endapo Simba hatokuwa bingwa mwaka huu na kisha Yanga awe bingwa tena!

Hivi ni kipi kitatokea endapo Simba hatokuwa bingwa mwaka huu na kisha Yanga awe bingwa tena!

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,197
Jamani,nawaza tu!

Hali itakuwaje km Simba na kwa maandalizi,mbwembwe na kujiamini kwao huko endapo hawatakuwa mabingwa tena msimu huu!

Kisha Yanga pia kwa mara nyingine tena itakuwaje km watachukua ubingwa tena.

Msimbazi kutakalika kweli?!Je,mzungu wao yule mpayukaji atapona na mashabiki kweli?!

Naomba unisaidie kujiuliza kwamba itakuwaje!
 
duuh wapiga debe hawana wema ..stend wametutoa chambo taifa [HASHTAG]#nguvumoja[/HASHTAG]
 
Muda sio mrefu wataanza kujichanganya....wewe subiri tu.
 
Mbona wamezoea kwani huu mwaka wa ngapi ubingwa was VPL wanausikia redioni ?

Viongozi watawapoza mashabiki kwa kukata rufaa FIFA maana hamna atayeuliza imefikia wapi baada ya miezi kadhaa.
 
Wapewe adhabu ya kushushwa daraja ili iwe fundisho maana watakua wametepeta sana
 
Sipati kama ikatokea kweli maana awa simba wanavyotupa tabu uku mtaani daaaah lakin mungu anawaona
 
Mbona wamezoea kwani huu mwaka wa ngapi ubingwa was VPL wanausikia redioni ?

Viongozi watawapoza mashabiki kwa kukata rufaa FIFA maana hamna atayeuliza imefikia wapi baada ya miezi kadhaa.
Na kumsajili yeyote kutoka yanga na kumuonesha kwenye simba day
 
Back
Top Bottom