Hivi ni kipi kitatokea endapo Simba hatokuwa bingwa mwaka huu na kisha Yanga awe bingwa tena!

Points zimebaki 6 simba ana 46 michezo 20 yanga ana 40 michezo 19 patamu hpo yanga akifanya kweli game ijayo gape litabaki points 3 kwa gape hili wakija kukutana kwa mchina ple hyo tarehe 28 uchawi wke utakuwa sio wa dunia hii atakufa mtu!
Duh! Nimecheka kwa sauti, hasa hapo kwenye uchawi wa kufa mtu!
 
Hakuna cha kuzuia simba kuwa bingwa,,,, tumeshajuwa MNACHOFANYA MIAKA YOTE... ZENU VYURA FC... na MNYAMA tunapita humo humo..zikibaki mechi 10 za mwisho MNAJIKITA KWENYE MIAMALA.. Tu... Wala hakuna cha zaidi MNACHOFANYA kuizidi SIMBA,,, safari hii tumejipanga,,
 
Ingawa mimi ni Yanga ‘asili’ tena mkereketwa kweli, msimu huu ningependa Simba awe bingwa, misimu mitatu tuliochukua ubingwa inatosha safari hii ‘tumuachie’ huyu dogo ‘mtani’ ajidai kidogo!
 
Ghafla Yanga imekuwa bingwa kwa kuwa Simba katoa droo na Stand United licha ya kuwa mbele kwa pointi 6!!!
 
Points zimebaki 6 simba ana 46 michezo 20 yanga ana 40 michezo 19 patamu hpo yanga akifanya kweli game ijayo gape litabaki points 3 kwa gape hili wakija kukutana kwa mchina ple hyo tarehe 28 uchawi wke utakuwa sio wa dunia hii atakufa mtu!
Daah we jamaaa[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…