NnyaMbwate
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,678
- 1,204
Duh! Nimecheka kwa sauti, hasa hapo kwenye uchawi wa kufa mtu!Points zimebaki 6 simba ana 46 michezo 20 yanga ana 40 michezo 19 patamu hpo yanga akifanya kweli game ijayo gape litabaki points 3 kwa gape hili wakija kukutana kwa mchina ple hyo tarehe 28 uchawi wke utakuwa sio wa dunia hii atakufa mtu!