Upo Mkuu? Longtime hujaonekana humuMkuu hicho ulichochangia ndio kinachoamua liwe kosa ama sio kosa.Isiwe ukaona watu wanazima moto wewe unabeba dumu la mafuta ya taa na kusaidia kuzima.Ngoja wanazuoni wa sheria waje.Ila kumbuka uchochezi ni ukoko wa ukoloni kwenye fikra za viongozi wa kiafrika.
Mkuu nipo.Napambana hali yangu.Mzima lakini?Upo Mkuu? Longtime hujaonekana humu
Nipo mkuu, mambo ndio kama hivo, moja haisomi mbili haisomi, kweli inabidi kila mmoja apambane na hali yakeMkuu nipo.Napambana hali yangu.Mzima lakini?
Tupambane Mkuu.Kulalamika hakujawai mtoa mtu kiamaisha.Nipo mkuu, mambo ndio kama hivo, moja haisomi mbili haisomi, kweli inabidi kila mmoja apambane na hali yake