James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Siyo kosa kisheria; ila kwa matakwa ya polisi ni kosa.Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata kwa ridhaa yao bila mimi kupanga lakini mimi sikupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.
Ni kosa kubwa kwanini bado mnapendwa?Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata kwa ridhaa yao bila mimi kupanga lakini mimi sikupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.
Sasa kama unakwenda kufuata na mapambio huoni kama unaleta kero kwa wapita njia? hiyo ni fujo pia maandamano haya takiwiHebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata kwa ridhaa yao bila mimi kupanga lakini mimi sikupanga uwepo wao. Hebu wanasheria naombeni ushauri wenu.
Hayo ni maagizo ya chalamila huu ni upumbavu wa hali ya juu sana hawa ndio wanafanya ccm ionekane inaumiza watu
Mh raisi anangalia wateule wako hawa ndio wanao sababisha chama kichukiwa halafu wanakuja kukwambia uongo
Mh rais stuka kuna watu watakigarimu chama
Moyo wa upendo
Moyo usio na hila
Siasa zitapita Tanzania itabaki
Asante kwa kuwaeleza ukweli... Yaan wanatumia nguvu kubwa badala ya akili... Mwisho kumbe ndio Wana haribu
Zama hizi sio za kutishana na kuumiza wanasiasa. Kama hawawezi kijipigia kampeni kistaarabu wakae pembeni maana wanavuruga Amani ya nchi..
Hayo ndio maandamano, hua yanaanzia watu 2 na kuendelea kwa mujibu wa sheria ya kanuni za adhabu sura ya 16
Angewaambia warudi makwao kistaarabu, na si umemsikia mwenyewe majibu yake na kauli za kijeuri na kifedhuli mbele ya jeshi la polisi!!? Sugu hana maadili mazuri
Hilo ndilo linapenda hivyo!Ni vyema Mkuu wa nchi akajua haya kwa ajili ya kuchukua hatua kwa watu kama hawa!
Litume letu nalo linakuwa kama linaongozwa na mataahira! Hivi jana kule Mpwapwa kulikuwa na sababu gani za kupiga watu aisee?Tume ya uchaguzi isipowakemea ma DC na OCD mapema uchaguzi huu unaharibika kabla haujaanza!!
fight for your rights mkuu ata south africa walipambana kidete kumg'oa kaburuAngewaambia warudi makwao kistaarabu, na si umemsikia mwenyewe majibu yake na kauli za kijeuri na kifedhuli mbele ya jeshi la polisi!!? Sugu hana maadili mazuri