Wadau naomba nijulishwe kama siku sina pesa Bibie akanionea huruma akanipa pocket Money,Na mimi nikaenda kupiga msele nikaanza kuitumia na akaja Totoz nikamtwanga kilaji na kwenda kubanjuka naye jama hapo si ninakuwa nimetumia efficiently??Kuna ubaya japo madame katoa??Mawe sitaki!!
walioelea thread yako nahisi iliwachukua mda kidogo....kwa upande wangu bado sijaielewa labda nirudie mara mbili mbili kuisoma.Wadau naomba nijulishwe kama siku sina pesa Bibie akanionea huruma akanipa pocket Money,Na mimi nikaenda kupiga msele nikaanza kuitumia na akaja Totoz nikamtwanga kilaji na kwenda kubanjuka naye jama hapo si ninakuwa nimetumia efficiently??Kuna ubaya japo madame katoa??Mawe sitaki!!
Wadau naomba nijulishwe kama siku sina pesa Bibie akanionea huruma akanipa pocket Money,Na mimi nikaenda kupiga msele nikaanza kuitumia na akaja Totoz nikamtwanga kilaji na kwenda kubanjuka naye jama hapo si ninakuwa nimetumia efficiently??Kuna ubaya japo madame katoa??Mawe sitaki!!
Unamaa desemba mpaka desemba wewe unahudumia tu??hata kama hauna na mwenziyo anauwezo wakuwa na kitu unameza office pin tu!!ili usionekane umemuomba mwanamke!!???kazikwelikweli!!Kazana unakufa na tai shingoni kilasiku wewe nikukopa tu!!hawa watu na mapenzi ya tamthilia wanatusumbua, hv mwanaume utaombaje hela kwa mwanamke?